1.Nani alimpiga picha mara tu baada ya ajali na kusambaza katika mitandao ya kijamii ?
2.Kwenye maiti yake eneo la shingoni kuna kitu kama kamba je,ile kamba ni ya nini?
3.Kwa nini mwili wake hauna alama yoyote ya kuvuja damu kutokana na ajali?
4.Je,katika gari walikuwa wangapi na wanatoka wapi?
5.je,Mtikila alikuwa anawafahamu vizuri aliokuwa nao?
NB:KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA YEYE HUMCHUKUA AMTAKAYE
Post a Comment