BENDI ya muziki wa Taarabu ya Jahazi Morden Taarabu inatarajiwa kushusha burudani ya nguvu kwa wakazi wa Tanga na vitongoji vyake katika ukumbi wa Harbours Club siku ya Alhamisi Septemba 3 mwaka huu.
Katika onesho hilo bendi hiyo ikiongozwa na Mzee Yusufu maarufu Mfalme litaanza majira ya saa mbili usiku mpaka asubuhi.
Kiingilio ni shilingi 10,000/-
Post a Comment