MWAKA 2015 utakuwa ni mwaka wa kihistoria katika uchaguzi mkuu wa tano wa kidemokrasia nchini Tanzania.
Hii ni kutokana kwa kuungana kwa vyama vinne vya kisiasa vya upinzani ambavyo ni CHADEMA,CUF NLD na NCCR-MAGEUZI.
Kutokana na muungano huo kumefanya umoja huo kuwa na nguvu katika kampeni zake ambazo hujaza watu wengi ambao umemsimamisha Edward Ngoyayi Lowassa kuwa mgombea urais wakati juma Duni Haji akiwa mgombea mwenza akitokea Zanzibar.
Wimbo mkubwa (Sera) za umoja huo ni kuleta mabadiliko kwa watanzania .
Post a Comment