IPO wazi! haina ubishi ilijengeka dhana kuwa Tanga,Morogoro na Dodoma ni ngome ya CCM wengi wakaamini,na CCM wenyewe wakaamini hivyo.
Kilichotokea Tanga tarehe 28/09/2015 saa kumi jioni katika uwanja wa Tangamano jijini Tanga imejidhihirisha tosha sasa Tanga ni mwendo wa mabadiliko unabisha?
Watu zaidi ya 50 walizimia kwa shauku ya kutaka kumuona mgombea urais kupitia tiketi ya UKAWA kwa chama cha CHADEMA Mh.Edward Lowasa wakati akiwasili katika viwanja hivyo vya wazi haijawahi kutokea tangu nchi hii inaitwa Tanganyika mpaka Tanzania .
Unajua kilichotokea? aliamua kuahirisha mkutano ili kuepusha maafa zaidi.
SIKU YA PILI
Kipenzi huyo wa watu aliamua kwenda Dar es salaam kwa njia ya gari bila ya taarifa yoyote chini ya ulinzi wa askari, unajua kilichotokea katika barabara kuu ya Tanga-Segera-Chalinze watu hawakupewa taarifa yoyote ila kuna wana nyepesi nyepesi walihabarishana kuanzia Muheza mpaka Mkata polisi hawakuwa na kazi zaidi ya kusindikizwa na Bodaboda.
Je huyu sio rais wa awamu ya tano?
Post a Comment