Mwangaza Blog imeongea na Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Jafari Mohamed na amethibitisha kutokea kwa tukio hilo. Asema kuwa "Taarifa za mwanzo" zinasema Rev.Mtikila amefariki leo tarehe 04/10/2015 saa 12 kasorobo asubuhi katika kijiji cha Msolwa, Chalinze.
Amesema gari lililokuwa limempakia lilikuwa linatokea Morogoro na kwamba walikuwa watu wanne ambapo wengine watatu wamejeruhiwa vibaya.
Majeruhi wamekimbizwa katika Hospitali ya Tumbi.
Post a Comment