MCHEZO waliocheza Simba dhidi ya African Sports ni
kama wamepata mbinu ya kuifunga timu Mgambo Shooting katika uwanja huo wa
Mkwakwani jijini hapa utakaofanyika keshokutwa jumatano .
Katika mchezo huo wa pili, Simba
inatakiwa kuvunja mwiko wa kutokuifunga Mgambo Shooting katika uwanja huo.
Uwanja huo huo wa Mkwakwani huwa
unakuwa mgumu kucheza mpira wa pasi za chinichini kutokana kutokuwa vizuri kutokana kuwa na
mashimo madogomadogo na pia una milima na mabonde madogomadogo.
Kutokana na aina ya mchezo
waliocheza Simba juzi (jumamosi) dhidi ya African Sports ni kama msimu huu
wameweza kuumudu uwanja huo kwa kucheza mipra mirefu aina ya mchezo wanaocheza
Mgambo Shooting wanapocheza katika uwanja huo.
Post a Comment