TIMU ya Yanga leo imefungua pazia la ligi kuu kwa
kuibuka na ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Coastal Union ya Tanga katika uwanja
wa taifa jijini Dar es salaam.
Katika viwanja vyote nane
vilivyochezwa tangu jana Yanga ndio timu
pekee iliyofunga magoli 2-0 kuliko timu
zote zilizocheza
Katika timu hizo nyingine zilishinda 1-0,1-1 na nyingine
2-1.
Aidha pia katika kiwango cha
mpira ni Yanga pekee iliyoonesha kiwango kikubwa kuliko timu nyingine katika ufunguzi wa ligi
kuu.
Post a Comment